Pages

Thursday, May 9, 2013

(NEW) ; M-RAP AJA NA BALAA JENGINE...!!!!


Mkali wa HIP HOP anaekuja kwa kasi M-Rap toka B'hitz Music Group Tz, baada ya DESTINY aja na Balaa jengine. Ni muda sasa toka kuachia ngoma yake chini ya Ulinzi mkali wa Pancho Latino na Hermy B, M-Rap amesema wakati wowote kuanzia sasa atakuja na ATTENTION ambayo amempa shavu tena mkali toka B'hitz "DEDDY".
Lion amesema, Watu wangu wakae tayari muda wowote kuanzia sasa ntaachia huo mzigo. #ATTENTION.. Ngoma moja kali sanaa. Hip Hop moja ya baridiii sana zaidi ya kipupwe cha ICU..
"Usiniuzie cheni feki ntakupa pesa ya bandia|ukijidai unanisntch ntajifanya sijakuskia. Poa yataingilia kushoto afu ntayatolea kulia|huwezi ukajiua kwa kubana pumzi yako, heheeee UTAUMIA ..
Unaweza kuMfollow  Twitter @MrapLion
kuwa wa kwanza kuiskiza hapa hapa..

No comments:

Post a Comment

share