Pages

Tuesday, October 30, 2012

BREAKING NEWS: M-RAP KUACHIA NGOMA YAKE MPYA AKIWA Bhitz Music Group Tz. "DESTINY"

Baada ya kutoka na Hit songs kama WINNERS akiwapa mashavu Jux, Stamina na Country Boy. Akasukuma hewani Mzigo wa TUNAMAINTAIN akiwa na Makamua.

The Kid from Bhitz Music Group Tz, M-Rap Lion katika Mikono Salama ya Pancho Latino. Wiki hii anaachia Ngoma mpyaaaaa!
DESTINY. Ambayo Ndani yupo Deddy' member wa B'hits.

M-Rap anasema
"DESTINY ni nyimbo inayoeleza Maisha yangu ya Muziki ( from day 1 ) Nilipotoka ni mbali na ninapoenda sasa nahisi ni karibu coz kila kitu nakiona. I see the right, pia watu waliokuwa wananichukia sasa wanaonyesha kunipenda. DESTINY Inajieleza wazi kuwa hutakiwi kukata tamaa, Mungu ndo anajua mwanzo na mwisho. Hakuna mwanadamu anayeweza kuzuia ndoto zako."

DESTINY Ikiwa ngoma ya kwanza kwa M-Rap baada ya ku'sign Dil na Bhitz, mzigo umesimamiwa na Pancho Latino na kufanyiwa mastering na Hermy B.

PANCHO anasema,
"DESTINY ni nyimbo nzuri, naamini waTZ wataelewa sana. Ni Hip Hop ya tofauti sana. Trust Me. WaTanzania wam'support M-Rap."


DESTINY Utapata kuiskia na kuiDownload kwa Mara ya kwanza hapa kwa Blog yako Halali.. "Trust me" Trust me"
"pls share Link"

No comments:

Post a Comment

share