Pages

Monday, May 27, 2013

JUMP OFF EPIC OPEN MIC TEMEKE.

MABESTE on Stage akifanya yake.


                                                 MONALISA, M-RAP na NATASHA.
                                         

                                   MAPACHA, RAMA D, NASH Emcee, M-RAP, MKOLONI.

                                                           
                                            EpicStar WALTER CHILAMBO & M-RAP.


                                               MABESTE & DEDDY on Stage.. Dole!!!

                                          
                                   With ma Ninjah KING ZILLAH from SalaSala.(Back stage)
                                          

                                                     DEDDY, WALTER & ZILLAH.


                                              Kisigino baki chini........ SHOW TIME.


                                            "#ATTENTIONNNNNNNNNNNNNN
                                                          Ma main man DEDDY                              M-RAP, DEDDY & MackAbouSalmaJr.... Tokaaa Bhitz. #LatinoNation


                                                            DJ' Toka Times FM.. Good Music.

Show ya JUMP OFF EPIC MIC Viwanja vya Mwembe Yanga TEMEKE. Photography by #MackAbouSalmaJr..


Friday, May 24, 2013

M-RAP - ATTENTION ( LYRICS).


 ...Toka B'hitz... B'hitz....

[verse 1]  

Kisigino baki Chini hauwezi nifikia mi ni kichwa
Maisha yangu good FILM njoo uyapige picha
Popote utaponiona usiogope na kijificha
Usiponiskia, utaniona, vituoni utaziona picha
Usiwe na roho ya Chatu utakufa umeota magamba
Nimetokea Kigogo mpaka hii leo mi natamba
Mi sio Brotherman, kwa Jeans naweza weka kamba
Hawajui mchezo wangu ok ni Samba
Usiniuzie Cheni feki, ntakupa Pesa ya bandia
Ukijidai unanisnitch, ntajifanya sijakuskia
Poa yataingilia shoto, halafu ntayatolea kulia
Huwezi ukajiua kwa kubana pumzi yako utaumia
Mwache alale kwako kwangu mimi alete fedha
Lia na moyo wako, moyo wangu mi ni Leather
Wenzako washanikubali, kitambo nimewapoteza
Brotherman kuwa  makini, demu wako kankonyeza


             [Chorus] DEDDY
ATTENTION, nimekuja kuwanoa
PRECAUTION, Bwoy nawatia doa
MJIPANGE,....... Pange
MJIPANGE,...... Pange  x2

[verse 2 

Makini kuandika rhymes ka kuvuka barabara
Wananchi washanikubali, we boya fata msafara
Nimeteka masharo na magangsta sio masihara
Temeke, Kinondoni mpaka sasa nipo Ilala
Dada zako wananifata eti wananipenda sana
Hapo mwanzo walintizama, hawakunitizama tena
Aah! wapi mapenzi ya kweli hayapotena
Mapenzi yaunganishwa na Doo PANCHO alisema
Sikurupuki najipanga halafu naachia madini
Nilianza kuandika la3 kutoka nkawa na imani
Naskiliza nyimbo za watu redio mbao kitandani
Hili Game ilivyotoka peni kwa muda nkaweka chini
Ndoto, imekuwa kweli natizama marambili
Mie nifanye baya, basi watasema zuri
Waloniona mbaya, sasa wananiona mzuri
Bro Pancho, Wat do you think, I'll be killin em


             [Chorus] DEDDY
 

[verse 3]

Am now used to the haters, I don't care what they say
Ona washaunga tera, coz nimepanda bei
Eey! Man am the best, risasi haipiti hata nikivaa Vest
I'm the King of the rap nimewini maintain
Nobody can stop, we mbishi hauta gain
Ulivyoniacha mwaka mmoja, am not the same
Pancho usikate beat, lemmie show em
1992, August boy nazaliwa
Thanks GOD, thank Pancho coz M-Rap sikufikiriwa
Wodini tulizaliwa, wengine wakafa pia
REST IN PEACE, mi daily nawaombea
Nikaona mwanga wa dunia, na giza lake pia
Napoishi kwenye hood, inayoitwa Uswazi mitaa
Wengine elimu ni good, wengine amna hata
Wapo wanaokosa food wengine milo sita


          
             [Chorus] DEDDY
ATTENTION, nimekuja kuwanoa
PRECAUTION, Bwoy nawatia doa
MJIPANGE,....... Pange
MJIPANGE,...... Pange  x2......U Wiiiiii...
And everybody say M-RAP
Aaah. say M-RAP
M-RAP
B'Hitz beiiib....aahh Tokaaa B'Hitz
*****************************

ATTENTION- M-RAP ft DEDDY
Produced by Pancho Latino & Hermy B
B'hitz Music Group Tanzania.
Thanks to my Manager Mack AbouSalma Jr  for correcting these Lyrics.


Thursday, May 9, 2013

(NEW) ; M-RAP AJA NA BALAA JENGINE...!!!!


Mkali wa HIP HOP anaekuja kwa kasi M-Rap toka B'hitz Music Group Tz, baada ya DESTINY aja na Balaa jengine. Ni muda sasa toka kuachia ngoma yake chini ya Ulinzi mkali wa Pancho Latino na Hermy B, M-Rap amesema wakati wowote kuanzia sasa atakuja na ATTENTION ambayo amempa shavu tena mkali toka B'hitz "DEDDY".
Lion amesema, Watu wangu wakae tayari muda wowote kuanzia sasa ntaachia huo mzigo. #ATTENTION.. Ngoma moja kali sanaa. Hip Hop moja ya baridiii sana zaidi ya kipupwe cha ICU..
"Usiniuzie cheni feki ntakupa pesa ya bandia|ukijidai unanisntch ntajifanya sijakuskia. Poa yataingilia kushoto afu ntayatolea kulia|huwezi ukajiua kwa kubana pumzi yako, heheeee UTAUMIA ..
Unaweza kuMfollow  Twitter @MrapLion
kuwa wa kwanza kuiskiza hapa hapa..

Monday, January 21, 2013


                                 EXCLUSIVE:  M-RAP ft DEDDY - DESTINY ( Official Video )
                     Tunauwanza mwaka 2013  kwa Kichupa cha Destiny, Thanx for support, Comments zako ni muhimu sana, bila wewe hakuna M-Rap Lion... Thanx B"Hits, Video imetoka kwenye mikono ya EDSON and WYCLIFF  ( Production: Touch Of Art Vision Pro).. Thanx DEDDY, PANCHO Thanx TANZANIA.. Nawapenda wote...

share