Pages

Wednesday, October 24, 2012

M-RAP ft MAKAMUA - TUNAMANTAIN. (Lyrics)


VERSE 1.

Wakisikiza sauti yangu, midomo inatetemeka Beat zikidunda dunda, ndani ya timing nazinduka. Nikishika rhyme paper, kama msuli nakamuja. Da heavy MC nasanuka, na beat narukaruka.

Bon Voyage, MAMA alisema go ahead. Ready nina anthem kama ile ya Tz. Mie naenda mbele then nawaacha wanafreeze. Easy and I'm in, and All I do is win.

Makini kama Joh yule wa kaskazini. Hizi levo sio zao , mi nakiri mi naamini. My dream kuwa KING wa hizi flow na hizi pini. NaDream better, si dream kuwa na Lamborghini.

Kitaani na masela kama kawa uswahilini. Mziki ni death race anytime we uko chini. Bettle itaendelea nshamaliza first scene. Walipolala Wao ndipo nilipoamkia mimi.


Chorus - #MAKAMUA.

Big things upon crown ndo siwezi kuishare. eee eee eee raaaaaaah.!! Hizi flow ziko hot coz tunamaintain eee eee eee raaah!


Verse II.

Ni balaa kubwa sana iloshuka chini ya jua. Walo chini wanatetemeka M-RAP boy ndo natua. Wanajipa majina makubwa wanaona uking washauchukua. No! Ma fake Mc's naamini mtanielewa.

Ni neema kubwa kama mawingu yaliyo na mvua. Nimepewa maono ma fake Mc's nije kuwababua. Nababua, nababua na hizi flow nawachubua. Wanainamisha vichwa wanaona nshawatambua.

Yaani woow! Ndiyo wanavyosema dada zao. From now! Kama kawa, mi na go high. On Air kama tel, mi mwingine somebody. Mi na we tuna repel, so kaa mbali buddy.

Hii ni 2nd Scene, kama racing nishawin. Nimewaacha mbali then, kwenye line nipo in. Then nina new deal, usiulize ni nini. Hizi flow so heavy, hizi flow so real.


Chorus. #MAKAMUA.


Verse III.

Nipo high kwenye booth na race zaidi yao. Tooth kwa tooth sambamba na wao. Blue ka dat tooth hii sio levo yao. Kivile bado wadogo wanaleta dharau.

Amen ! Thanks God kwa hii fani. Still young, sio Cash like Money. Kimbiza this Town bila mzuka wa mjani. Necky go hard, kimbiza humu ndani.

Yeeeah, I'm not Big like Sean. Hands in the air if you fill this man. M-Rap Lion, ah ah ah O me! Fake Mc's wote nawaweka chini.


Chorus. #MAKAMUA

***---***---***

No comments:

Post a Comment

share